Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,913
Huu ni uzi maalum kwa vile vimsemo vilivyosambaa mitandaoni vinavyoanza na ujinga ni pale.......nk
Nawewe tupia hapa ili twende sambamba................
Kwamfano.
Ujinga ni pale unapo unapomwambia demu I Love You.....nakusubiria majibu wakati sio swali.
Ujingani pale unapofika ukweni mkapia msos wa jioni vizur na kupewa chumba chako maalum cha kulala then usiku wakati unatoka nje kujisaidia unaparamia vyombo na ndoo za maji ghafla mama mkwe anawasha taa anakukuta umeshikilia sufuria. .....mama mkwe anakwambia, baba kama ulikuwa hujashiba siungesema????
Apo ndo utajua kwann kuku anabaka wala hatongozi.
Ujinga ni pale unapokosea sms kwa mkwe wako *Njoo mpenz leo halipo limeenda kwao na watoto usijali** .
Utatamani uwapigie customer care wairudishe.
Weka na wewe zakwako karbuni