Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa,
Unaamua kuweka mb zako ili usome hizo habari kwa undani facebook, ile kufungua to facebook unakutana na lisura la mdada mbaya alilopaka lipshine au lipicha la full amegeuka nyuma kuonyesha watu makalio ambayo yako kama matofali ambazo kwa ujinga wake hataki kujua kinachoendelea duniani yeye anasaka likes na comments only. Pia unakuta mdada mjinga anarudisha majibu ya komment ya picha za nyuma na linatokea lisura lake libaya, hujakaa vizuri inangia meseji ya ppoa ambayo ni ya dada unayemfukuzia ffb baada ya kumtumia meseji tangu juzi yeye ndio anajibu leo watu wana majonzi. Hapo ndipo utajua kuwa kuna baadhi ya wanawake wamekuja duniani kudanganywa only kwa like na comments.
Ujinga ndio huo apojuu[emoji115]Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa,
Unaamua kuweka mb zako ili usome hizo habari kwa undani facebook, ile kufungua to facebook unakutana na lisura la mdada mbaya alilopaka lipshine au lipicha la full amegeuka nyuma kuonyesha watu makalio ambayo yako kama matofali ambazo kwa ujinga wake hataki kujua kinachoendelea duniani yeye anasaka likes na comments only. Pia unakuta mdada mjinga anarudisha majibu ya komment ya picha za nyuma na linatokea lisura lake libaya, hujakaa vizuri inangia meseji ya ppoa ambayo ni ya dada unayemfukuzia ffb baada ya kumtumia meseji tangu juzi yeye ndio anajibu leo watu wana majonzi. Hapo ndipo utajua kuwa kuna baadhi ya wanawake wamekuja duniani kudanganywa only kwa like na comments.
Wewe ni mtafuta sifaUjinga ni kuanzisha thread iliyosheni ujinga
Nahisi upo sahihi keep it up
Mkuu sio vizuri ivo asee,..manzi yangu iyo asee. Iache na sifa zake za kijinga
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??Pambana na hali yako.
Mchukue manzi yakoMkuu sio vizuri ivo asee,..manzi yangu iyo asee. Iache na sifa zake za kijinga