Tukiamshwa vema kesho nitaweka tena namna ninavyofikiri tofauti na mifumo Yao..kwa mifano haiMkuu tutolee mfano wa wazo lako wewe ambalo haliendan na mifumo ya wazungu ambalo litasaidia kuitoa nchi yetu hapa ilipo hadi nchi ya ahadi
Nawasilisha...🙏🙏
Mkuu mbona kmya au hujaamshwa vyema?Tukiamshwa vema kesho nitaweka tena namna ninavyofikiri tofauti na mifumo Yao..kwa mifano hai
Sawa mkuu tunasubiri.Tukiamshwa vema kesho nitaweka tena namna ninavyofikiri tofauti na mifumo Yao..kwa mifano hai
Naungana na wewe kabisa, ndo maana walileta elimu na kuiwekea madaraja, unafanya mtihani kwenye makaratasi ili wapunguze watu, pia wakaja na ujinga mwingine no research no right to say, ili isiweze kuchallenge mambo yao, mara kwa sources ya jambo lako, wengi wanaofanikiwa hapa duniani katika uchumi, biashara, kilimo, dini ,siasa, uongozi ni wale waliojaribu kufanya na kufikiri nje ya box na nje ya yale ambayo wanayaona na kuyasikia.Twime tubite!!
Dunia yetu imejaa taarifa ambazo siyo sahihi japo ni za kweli, kwa kuwa siyo za kweli basi zimewekwa kwenye mifumo ya Elimu na Media Ili lengo lao Liwe timilifu.
Binafsi nikiwa Katika lindi la mawazo huru nakuja kugundua kwamba UJINGA ni bidhaa inayouzwa kwa bei kubwa bila wajinga wenyewe kujua kwamba wananunu ujinga.
Elimu yetu imeundwa na mkoloni, Ili ipewee kibali Cha kukubalika duniani lazima ifuate utaratibu wao, unajiuliza kwani kufundisha watu wetu utamaduni wetu na mawazo yetu kama Babu zetu haiwezekani? Jibu (inawezekana)
Tuna vyuo vikuu vya kiafrika vilivyopo Afrika Lakini mifumo Yao yote ni ya Ulaya,Amerika au Asia, hapa ndipo msingi wa kuzalisha wajinga unaporutubishwa..
Ukishindikana huko kwenye Elimu basi utaangamia kwenye Media, wanatangaza na kusemea agenda zao za Siri, kwa kuwa ubinadamu wetu una-addict Fulani basi vile tunavyoona mara kwa mara kwenye tv zetu na mitandaoni huo tunaona ndiyo ukweli na jambo sahihi kumbe ni kampeni za kupumbaza wengi zaidi.
Mawazo yetu Yako wapi, Fikra zetu zimefia wapi, maulizo murua yamepotelea wapi..vyote vimeondoka na dhana hizi Tatu...Dini,Media , Elimu .
Wengi hatutumii mawazo yetu, Kila ukisema una wazo lako, ama ulifundishwa shule, kwenye nyumba ya Ibada au uliona Katika tv Yako...Lakini huwezi kukuta MTU mwenye misuli ya kujisemea na kusimamia mawazo yake, nje ya alichofundishwa.
Turuhusu mawazo yetu yafanye kazi na kizazi hiki, hayo yote yaliyoandikwa na yanayosemwa tunayoyaamini ni Mawazo ya watu...Tena watu kama sisi tu siyo malaika.
IPE AKILI KAZI
Mkuu waafrika kwa kiasi kikubwa sana tunasumbuliwa na inferiority complex kuliko UJINGATwime tubite!!

Ukimuelezea mwafika jinsi tulivyopumbazwa hapo kwenye media na elimu mwafrika atakuelewa ila ukitaka utukanwe, utishiwe maisha au mgombane basi gusa hapo kwenye dini. Linapokuja suala la dini mwafrika hawezi kutumia akili yake ipasavyoMawazo yetu Yako wapi, Fikra zetu zimefia wapi, maulizo murua yamepotelea wapi..vyote vimeondoka na dhana hizi Tatu...Dini,Media , Elimu .
Umeweka nyongeza nzuri sana yenye tija kwa jamii nzima ya wajua kiswahiliUkimuelezea mwafika jinsi tulivyopumbazwa hapo kwenye media na elimu mwafrika atakuelewa ila ukitataka utakanwe, utishiwe maisha au mgombane basi gusa hapo kwenye dini. Linapikuja suala la dini mwafrika hawezi kutumia akili yake ipasavyo