Ujinga na umasikini wetu wananchi.

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
18,129
Reaction score
9,538
Huwa sipendezwi na kauli za wanasiasa wanaposema kuwa watanzania wengi tuna ujinga na hatuna elimu hivyo hatujui haki zetu. Kwa maana hiyo unakuta tunaambiwa tunapelekeshwa tu na ccm kwa sababu ya ujinga wetu na umasikini wetu,lakini najiuliza ikiwa watanzani wenyewe ambao umasikini na ujinga wetu unafanya tupelekeshwe na ccm je,vyama vya upinzani nao hawatumii nafasi hii ya ujinga na umasikini wetu kutupelekesha?
 
Reactions: Lax
mkuu hapa ulikua mbele ya muda sana, kwa kilichotokea 2025 kwahakika uliona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…