Ujinga na Umasikini ni zao la Ugaidi

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Ugaidi ni Tunda/zao la Ujinga & Umasikini

Huko Pwani Ikwiriri kulikotokea mauaji ya askari wetu 8 ni matokeo ya wananchi kuwa masikini na kukosa elimu

Elimu ndio itamkomboa Mtanzania kutoka kwenye Umasikini

Kipi Kitangulie? Elimu ndio kila kitu....

Huko Pwani na Kule Kibiti -Amboni Tanga kuliko tokea mauaji na kuviziana Kuna umasikini na ujinga.

Asilimia 70 ya Watanzania wako vijijini hawana Maji safi, Madawa hakuna, Walimu hakuna au kama wapo hawana morali..

Kilimo na umwagiliaji ndio uwekezaji wa maana ili kuondoa umasikini

Kwa hiyo Serikali wajue kuwa matokeo ya haya mauaji, kiini chake ni Ujinga na Umasikini
 
Dr. Hussein Mwinyi akiwa Rais, JWTZ litaimarika sana..Tutakuwa mpaka na Nuclear

Waziri wa Elimu akiwa Raisi...Elimu itaboresha sana, walimu watalipwa vizuri

Waziri wa Kilimo akiwa Rais, wewe..Kilimo kitakuwa bab Kubwa...Kutakuwa na Irrigation schemes

Waziri Wa Afya akiwa rais, ooh< madokta wataajiriwa na dawa mingi...Mtaugua tena?
 
Back
Top Bottom