banned do
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 574
- 506
Mtu kuambiwa kuwa kuna harufu mbaya(either ya mavi au ushuzi) kisha anaanza kutembeza pua ili aisikie na kupata uhakika.Huo ni ujinga sawa na kuonja sumu ili uone inavyofanya kazi.Mtu kukomaa kupanda kilima kikali kwa baiskeli bila kupimzika eti kisa kambeba mkwe huu pia ni ujinga.Mtu kumshangaa mjinga anapofanya ujinga wakati anajua ujinga hufanywa na wajinga huyo ni mjinga skwea.Mtu kuufungua huu uzi ujinga na kuanza kusoma huu ujinga pasipokujua kuwa amefanywa mjinga pia ni ujinga uliopitiliza.





