Ujerumani wapitisha sheria kutotahiri watoto

Ujerumani wapitisha sheria kutotahiri watoto

soni

Member
Joined
May 24, 2010
Posts
18
Reaction score
4
Hivi karibuni kumekuwa na maandamano ya vikundi vyakidini kupinga mpango wa serikali ya Ujerumani kupitisha sheria ya kutofanya tohara kwawatoto wakiume nchi humo. Jambo hili limepingwa vikali na vikundi hivyo vikisisitiza nikinyume na taratibu za dini zao. fatilia zaidi kwenye hii link hapa chini

[h=3]German Jews and Muslims blast circumcision ban[/h]
Niwieniradhi kama ilishapostiwa humu ndani...
 
Back
Top Bottom