zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,842
- 36,537
Mbona yupo Barca ila wametolewa UCL mara mbili mfululizo hatua ya makundi. Tunawakuza tu ila akikutana na team serious anapigwa nyingi tuHawa Spain
Ukiwaangalia wanavyocheza unaweza kudhani ball ya kampa kampa tena ni Rahisi sana
Enewei kwa sisi vizazi vya Samia ambao hatukuwahi kumshuhudia Iniesta nadhani miungu ya mpira imeona ituletee huyu dogo Pedri
