Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Hilo lingefanyika mapema ujinga unaofanywa na watu wa ulaya na America Hapo Ukraine isingefikia hatua ya kugharimu Maisha na Mali na kusababisha Hali ngumu za Maisha Duniani.Kilichobakia ni Marekani kutambua Hilo japo kwa aibu,na kukubali kuwa Urusi ni tisho kwa muungano was Nato pengine Hata anavyoitazama uchina na kinachotakiwa ni amani,maridhiano na makubaliano😂😂View attachment 2400373
Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo.
Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
Supa pawa wa zamani za kale linapoteza ushawishi kwa kasi kubwa sana na soon litakuwa joka la kibisaView attachment 2400373
Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo.
Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
urusi ana hali mbaya sana alivoingia vitani alijua atakutana na vibonde kama vita za nyuma ambazo alishinda kirahisi ila wamejikuta wamewekewa ukuta mkali sana ambao hawakuutarajia, putini amebaki tu kutishia nyuklia kila siku anatoa matishio ya nyuklia ujue kweli hali mbaya.. yule kichaa wake wa çhechnia mwenyewe kakiri wiki hii makomando wake 23 wameuliwa mkuu, ukraine itaharibiwa lakini urusi hatatoka hapo salama ujue, na anapoteza pesa nyingi saña usifikiri kurusha yale makombora ni pesa ndogo ndo maama amehamia kwenye vi drone vya irani vya bei rahisi, maji yako shingoni kwa urusi...yani ni kama kajiingiza kweñye ule mtego wa panya wenye nyavu yani kuingia rahisi kutoka mzikiHilo lingefanyika mapema ujinga unaofanywa na watu wa ulaya na America Hapo Ukraine isingefikia hatua ya kugharimu Maisha na Mali na kusababisha Hali ngumu za Maisha Duniani.Kilichobakia ni Marekani kutambua Hilo japo kwa aibu,na kukubali kuwa Urusi ni tisho kwa muungano was Nato pengine Hata anavyoitazama uchina na kinachotakiwa ni amani,maridhiano na makubaliano[emoji23][emoji23]
Cha muhimu amalize tofauti zake na lugha ya Malkia tu ..Umeelewa kilichoandikwa lakini au umekimbilia tu kufungua Uzi?!
Toa uchafu wako wa twitter za kimchongo hapa, tuletee vidhibiti sahihi ili tuchangieView attachment 2400373
Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo.
Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
Kwa unaaandamana ukiwa wapi ndugu😂Toa uchafu wako wa twitter za kimchongo hapa, tuletee vidhibiti sahihi ili tuchangie