Eyeson Property
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 202
- 47
Tsh 48 MilionInasmama ngapi kwa bei gani apatment moja?[emoji1321]
Moja Kati ya Apartment 10 za Nyumba za Mteja Wetu wa MBWENI ikiwepo Kwenye Hatua za Finishing.
Nyumba ina Vyumba Viwili(2) vya Kulala
Chumba Kimoja ni Self
Ndani ya Hii Nyumba Kuna:-
Dinning Room
Sitting Room
Public Toilets
Store
Kitchen
Tupigie kwa
0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
EYESONEPROPERTY TANZANIA LTD
DAR ES SALAAM TANZANIA
Tunajenga Mkoa Wowote & Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako Pamoja na Kuingia Mkataba wa UJENZI Kisheria wa NYUMBA Yako.
Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali
Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini
follow a link to this website: Eyeson - properties and real estate @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, TanzaniaView attachment 762177View attachment 762178View attachment 762179
Mpaka kuishaHiii pichani ni 48 ilipofikia au mbaka kuisha???
Milion 48Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani kuijenga mpaka kuimaliza - Just estimates!
Ramani nzuri hivi huwezi kuiboresha ikawa na room 3 za kulala huku moja ikiwa master
Ramani nzuri hivi huwezi kuiboresha ikawa na room 3 za kulala huku moja ikiwa master
Hiii pichani ni 48 ilipofikia au mbaka kuisha???
Milion 48
Mnachimba na mashimo ya sewage na maji?
Kuanzia Tsh Million ,40Inasmama ngapi kwa bei gani apatment moja?[emoji1321]
Million 58Nyumba ya vyumba vi4 +master vya ukubwa wa mitre 6 kwa 8 na vyoo/bafu zake kwa ndani, sitting room ya ukubwa wa mitre 10 kwa 12 na public toilets, family hall iwe na ukubwa wa mita 12 kwa 12 na public toilets, madrisha makubwa ya aluminium.
Je itacost ngapi mpaka mnanikabidhi?
Mpaka KuishaHiii pichani ni 48 ilipofikia au mbaka kuisha???