Development is dynamic. Please replace your static with equally dynamic thinking! Hakuna aliyezaliwa asisafiri kwa choice ya usafiri autakao. Usiwasemee watu kwa kutumia hisia zako tu.Wilayani kwenu ni watu/wananchi wangapi wenye uwezo wa kusafiri na ndege kama usafiri wa kila mara (regular traveling) kwa kutumia hela zao? Mimi huku Babati hakuna wanachi wenye uwezo huo. Mwananchi wa kawaida wa Ngara anasafiri kwa ndege kwenda wapi wakati Enttebe enyewe anaweza kwenda kwa toyo?
Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.
mweshimiwa nikupe tu mitazamo ya sasa kwa watanzania wenzetu,kwa miunga yote tokea ccm imekaa madarakani watu wameichoka hata ikitenda mabaya au mazuri wamechoka tu,hapa uta ambulia matusi kwa watu wanao jiona wana upeo kuliko vitu vyoteIpo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Mwaka mmoja baadae, unabii unakaribia kutimia.Baada ya kipindi cha urais cha huyo mkazi wa Chato, huu uwanja wenu unaogharimu billion 41 utatumika kama malisho ya punda wanaotumia traffic lights hapo Chato.
Hahaha kinyago cha mpapureIpo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Njoo tupe mrejesho bwasheeIpo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.