Ujenzi wa Nyumba

Ujenzi wa Nyumba

Ellie

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Greetings!
Wakuu kwa wanao hitaji ramani za nyumba (Residential Houses) pamoja na cost- estimates zake tuwasiliane, pia Sisi kama BUILK BUILD tunakujengea nyumba yako at a high quality needed! Tembelea website yetu ni www.bulkbuild.com na kwa mawasiliano zaidi ni PM
 
Watu wengine hawapo serious unajitangaza halafu unaweka link ya uongo.....maana yake nini
 
Ellie,

Nimepitia website yenu na nimeona mnakodisha vifaa vya ujenzi. Ushauri: piga picha vifaa hivyo, then weka www.popo.co.tz, kwani wako watu wengi sana wenye shida ya kukodi vifaa vya ujenzi.

Huduma hii ya popo.co.tz hutolewa BURE!


--
POPO Team
 
Back
Top Bottom