Uwaeleze kabisa Kuna kukoroga nankulichambua kimba la mnyama kwa kutumia mikono Hadi liwe rojo likachakatwe na mtambo litoe gesi.
Gharama yake ni kiasi gani? inafaa kwa kinyesi cha binadamu pia????
Napatikana Dodoma mkuu...gharama itategemea na ukubwa wa mtambo pamoja na gharama za materials kwa wakati husika.Mkuu mbona maelezo hayajitoshelezi, mf; unapatikana wapi, mawasiliano yako, gharama nk!
Ila Watanzania sijuhi huwa tunakwama wapi?
Gharama zake zikoje nataka kutengeneza ausee?Inafaa mkuu