C careen rbk New Member Joined Jul 3, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Dec 12, 2025 #1 Nipo Mwanza hivi gharama za kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 3,dining ,kitchen kwa kutumia tofali inaweza gharimu kiasi gani kwani kuuliza sio ujinga.
Nipo Mwanza hivi gharama za kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 3,dining ,kitchen kwa kutumia tofali inaweza gharimu kiasi gani kwani kuuliza sio ujinga.
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,223 Reaction score 3,746 Dec 23, 2025 #2 Tumia mawe acha ujuaji
Bin Kawambwa JF-Expert Member Joined Oct 9, 2012 Posts 483 Reaction score 361 Dec 26, 2025 #3 4-4.5M, pamoja na Ufundi