Inategemea, kama kiwanja chako kina mteremko mkali, basi ni muhimu sana kuweka nguzo hasa upande wa nyumba ambao upo chini ili kuongeza uimara wa msingi.
Nguzo sio lazima zipande mpaka juu kwenye boma, zinaweza zikaishia hata kwenye msingi baada ya kuungana na mkanda wa chini.