Ujenzi wa mashimo ya maji taka

Ujenzi wa mashimo ya maji taka

MR ZAKARIA

New Member
Joined
Jul 8, 2022
Posts
2
Reaction score
3
Bio digestion system ni mfumo wa unasaidia kumeng'enya kinyesi chote kinachoingia kwenye shimo, ni mfumo unaofanya infiltration ndani ya ardhi (unaruhusu maji kupotea ndani ya ardhi kutegemea na nature ya ardhi yako)

Huu mfumo unatumika katika eneo lolote la ardhi iwe eneo dogo au kubwa unafaidika na mfumo huu kuanzia futi 6 hadi 7 za uchimbaji wa eneo lako

Huu mfumo ni mfumo maalumu ambao haujai ikitegemea na nature ya ardhi, kama ardhi ni mchanga hautasumbuka kamwe na kujaa kwa shimo pia tunafanya kazi kwenye maeneo yenye matatizo ya maji na udongo wa mfinyanzi

Pia mashimo yetu hayatoi harufu kabisa kwa sababu moja mhimu maji machafu yote yanakuwa yanakauka kunakuwa hakuna nafasi ya maji kuonekana na kutoa harufu, pia sababu nyingine hatuweki mfuniko au bomba kuepusha tatizo la harufu

Ndugu mteja usisite kutembelea kwenye page zetu za Facebook Zacharia Yegela Biodigester ili kupata picha za kazi zetu nyingi na kujifunza zaida au instagram (IG) jamy_biodigester_system

Kazi zetu zinachukua siku 3 hadi 4 kukamilika pia tunatoa ushauri bure kabisa, tunapatikana dar es salaam na mikoa yote tunakufikia

NB: Gharama zetu ni nafuuu sana ni Million moja tu Gharama za kila kitu hadi kazi inakamilika na kukukabidhi

Mawasiliano
WhatsApp 0625882652 Message 0625882652 Call 0625882652

Karibu Zacharia yegela biodigester Zacharia Yegela Biodigester
20220604_131351.jpg
FB_IMG_1655177693062.jpg
 
Back
Top Bottom