Ujenzi wa Kijapani

Ukisema hivyo unakufuru aisee.

siyo hivo banaa we huoni hayo magap..kwani unadhani tuko nao sawa kwenye thinking capacity hadi wanafanya hayo maendeleo?? si tunawaza tu kupiga porojoo huko bungeni na siyo utendajii
 

kula like milions my dia,,,nimekuelewa saaana
 
Katika dunia hii huwa nawakubali:
1. Wajapani & wajerumani, hawa ni super engineers. Wana akili sana kwenye haya mambo, wanaweza kukufanyia kitu cha ajabu ukashindwa kuamini...
2. Wamarekani: hawa ni noma kwenye softwares, wanaweza kukutengenezea software na usijute...
3. Waholanzi na waisrael: hapa ndo modern agriculture imelala, wanaweza kuigeuza eka yako moja kulisha familia yako mwaka mzima na usinunue chakula kwingine.
4. Brazil: hapa ndo nyumbani kwa soka, wana vipaji hadi unaogopa...
5. Switzerland: hawa na genious kwenye maswala ya fedha, wanajua kuichannel hela hadi ikuletee faida..
Simply they are the best...
 
Mimi siwezi kuishi kwenye hilo ghorofa hata kwa Bunduki!
 
Ndio kwanza tunahangaika na flyover. We have a long way to go.
 
Hivi flyover za Magufuli bado tu? Nataka kuagiza kamkebe Japan nazisubiri ziwe tayari pamoja na lile daraja la kwenda Zenj, mtanistua zikiwa tayari niagize kimkebe changu nje
 

Mkuu unasema walauuu!!!!???? Hizo pesa zingewekezwa tingefika mbali mno.
 

No 6 Bongo Ukichukua mawaziri 3 tu wa hapa ukiwapeleka Ujerumani na utajiri wao ukiwakabidhi ofisi miezi 3 tu nchi itatangazwa kufilisika kama Ugiriki
 
No 6 Bongo Ukichukua mawaziri 3 tu wa hapa ukiwapeleka Ujerumani na utajiri wao ukiwakabidhi ofisi miezi 3 tu nchi itatangazwa kufilisika kama Ugiriki

Hahaha una utani na system wewe...

System ndo inaibaga ujue...
 

6. Tanzania: .........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…