Ujenzi wa daraja

Japokuwa

Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
17
Reaction score
17
Wadau naomba kujua kazi ya hii mifuko huko juu ya daraja maana kunawakati niliona ikiwa mingi Sana imetapakaa daraja lote
Ajabu ni kwamba kwa Sasa ipo michache upande mmoja lakini ukijaribu kuanga lia kwa umakini huko juu huoni kilicho ongezeka
Kuna wakati nilihisi ndio kokoto zinapandishwa

Wajuzi naombeni kujua tafadhali
 
Kwa hiyo kazi yake ni kupima uwezo wa daraja au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…