USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,737
- 27,840
UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KATA YA BIHARAMULO MJINI.
Kuna kazi ya kasi bado inaendelea kutekelezwa jimboni biharamulo kata ya biharamulo mjini kuakikisha barabara zote za mjini zinajengwa kwa kiwango cha lami tangu mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa awe mbunge wetu .
Barabara hii ni mfano katika barabara zilizojengwa hapa biharamulo mjini pekee.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ushirikiano wa mbunge, halmashauri ya wilaya, mkuu wa wilaya na Diwani wa kata ya biharamulo mjini kumefanya kazi ya ujenzi wa barabara hizi ufanyike kwa haraka na ubora unaotakiwa .
Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa.
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI