Ujenzi Ubungo interchange wafikia 25%

Hata project ya kwanza ilikuwa na taa, though ile taa zake zilikuwa kwenye daraja la kwanza(yaani interchange ilikuwa katikati), chini ilikuwa inapita free(Mbezi-City centre), katikati interchange na juu ndio ilikuwa free(Mwenge-Buguruni)
 
stendi ya ubungo ikiama automatic idadi ya magari yatapungua sana haswa hapo kwenye mataa cha msingi ni kuboresha ukubwa wa barabara haswa wa inayopita mbezi kuja kinyerezi , tabata na inayoenda gongo la mboto itasaidia sana kurahisha watakaoenda stendi ya mbezi kutokea tabata , gongo la mboto hata watakao tokea temeke

kitochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…