greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,764 Reaction score 3,227 Apr 16, 2026 #1 SEHEMU YA KWANZA A. Maji ndiyo kitu namba moja kinachoongoza katika uharibifu na kudhorotesha uimara wa jengo. Basi leo nitaangazia juu ya uzuizi wa maji kuweza kuharibu jengo alimaarufu kama "water proofing" B. Madhara ya maji katika jengo kabla ya kujadili waterproofing, kwanza hebu nikujuze juu ya madhara makubwa ya maji katika Jengo Kuoza kwa Samani/Mbao Kutu katika vyuma / Nondo Kupukutisha Zege / Tofali Uharibifu wa vifaa vya umeme Shoti ya umeme Kuharibika kwa Dari Mazalia ya wadudu Mazalia ya mimea Chanzo cha ukungu/Fangasi katika jengo Husaidia kusambaza chumvi Kutitia kwa jengo Husababisha nyufa Hizi zote huperekea jengo kufanyiwa marekebisho ya mara kwa mara nje ya kipindi kilichopaswa C. Sehemu zenye kufikiwa na maji Msingi wa Jengo Kuta za Basement Kuta za Jikoni/Chooni Milango ya jikoni/Chooni Paa za Zege na paa kujificha Kuta za nje ya jengo Vibaraza na vibaraza vya juu (Balconies) D. Namna ya Maji kufikia Namna kuu za maji kulifikia jengo lako ni Mvua Maji yayopita pembeni ya jengo Maji ya Ardhini Maji yanayotumika katika jengo ( Jikoni,Chooni,Carwash,Sauna) E. Wahanga wakubwa waliojenga kwenye mikondo ya maji waliojenga Mabondeni Majengo yenye huduma zenye kuhusisha maji ; Migahawa,Carwash Wenye paa za zege /Kulala Waliojenga karibu na bahari Wenye mifumo ya maji ndani ya nyumba Waliojenga kwenye ardhi ya kichanga ambapo kuna njia za chini kwa chini za maji Itaendelea.... Nakaribisha maswali na maoni
SEHEMU YA KWANZA A. Maji ndiyo kitu namba moja kinachoongoza katika uharibifu na kudhorotesha uimara wa jengo. Basi leo nitaangazia juu ya uzuizi wa maji kuweza kuharibu jengo alimaarufu kama "water proofing" B. Madhara ya maji katika jengo kabla ya kujadili waterproofing, kwanza hebu nikujuze juu ya madhara makubwa ya maji katika Jengo Kuoza kwa Samani/Mbao Kutu katika vyuma / Nondo Kupukutisha Zege / Tofali Uharibifu wa vifaa vya umeme Shoti ya umeme Kuharibika kwa Dari Mazalia ya wadudu Mazalia ya mimea Chanzo cha ukungu/Fangasi katika jengo Husaidia kusambaza chumvi Kutitia kwa jengo Husababisha nyufa Hizi zote huperekea jengo kufanyiwa marekebisho ya mara kwa mara nje ya kipindi kilichopaswa C. Sehemu zenye kufikiwa na maji Msingi wa Jengo Kuta za Basement Kuta za Jikoni/Chooni Milango ya jikoni/Chooni Paa za Zege na paa kujificha Kuta za nje ya jengo Vibaraza na vibaraza vya juu (Balconies) D. Namna ya Maji kufikia Namna kuu za maji kulifikia jengo lako ni Mvua Maji yayopita pembeni ya jengo Maji ya Ardhini Maji yanayotumika katika jengo ( Jikoni,Chooni,Carwash,Sauna) E. Wahanga wakubwa waliojenga kwenye mikondo ya maji waliojenga Mabondeni Majengo yenye huduma zenye kuhusisha maji ; Migahawa,Carwash Wenye paa za zege /Kulala Waliojenga karibu na bahari Wenye mifumo ya maji ndani ya nyumba Waliojenga kwenye ardhi ya kichanga ambapo kuna njia za chini kwa chini za maji Itaendelea.... Nakaribisha maswali na maoni
Emily magnus JF-Expert Member Joined Apr 7, 2026 Posts 821 Reaction score 1,501 Apr 16, 2026 #2 Itaendelea....
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,661 Reaction score 21,393 Apr 19, 2026 #3 Imekaa vxr Kazi ni kipimo cha utu
greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,764 Reaction score 3,227 Apr 19, 2026 Thread starter #4 kawombe said: Imekaa vxr Kazi ni kipimo cha utu Click to expand... Ila Amani ni muhimu 😷
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,192 Reaction score 37,773 Apr 19, 2026 #6 Endelea mkuu,imekaa njema sana