Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,429
- 46,157
Mkuu asante kwa maelezo,wewe ni fundi?kama ndio tuwekee namba yako hapaKumbuka hizi tofali zina dimension tofauti tofauti
Kuna Dimension hizi
1. 250mm x 125mm x 62.5mm
2. 250mm x 125mm x 65mm
3. 250mm x 125mm x 70mm
4. 250mm x 125mm x 72.5mm
5. 300mm x 150mm x 70mm
6. 300mm x 150mm x 75mm
7. 300mm x 150mm x 110mm
8. 300mm x 150mm x 140mm
Kwahiyo choice ni yako. Kuanzia namba tano mpaka namba 8 hizo size zimepishana kidogo sana na hizo tofali zetu tulizozizoea mtaani. Ila kama unataka muonekano mzuri sana hizi tofali ndogo zitakufaaa
Tukija kwenye mchanganuo hizi tofali huwa zinafidia gharama zingine kama plaster, skimming, rangi. Pia ni ujenzi wake hauna mambo mengi mfano badala yakukata ukuta uweke bomba za wire au maji hizi hutokata bali utapitisha kwenye yale matundu
Sasa tofali za msingi ni kiasi gani mpaka uone gharama?Kumbuka kwenye msingi utaweka tofali za kawaida na utatumia cement ya kujengea kabisa
ShukuraniUkonga
Hapo umeongea kitu mkuu, tofali za kawaida zinaleta gharama mana lazima mortar,skimming,primer, na rangi tena..Kumbuka hizi tofali zina dimension tofauti tofauti
Kuna Dimension hizi
1. 250mm x 125mm x 62.5mm
2. 250mm x 125mm x 65mm
3. 250mm x 125mm x 70mm
4. 250mm x 125mm x 72.5mm
5. 300mm x 150mm x 70mm
6. 300mm x 150mm x 75mm
7. 300mm x 150mm x 110mm
8. 300mm x 150mm x 140mm
Kwahiyo choice ni yako. Kuanzia namba tano mpaka namba 8 hizo size zimepishana kidogo sana na hizo tofali zetu tulizozizoea mtaani. Ila kama unataka muonekano mzuri sana hizi tofali ndogo zitakufaaa
Tukija kwenye mchanganuo hizi tofali huwa zinafidia gharama zingine kama plaster, skimming, rangi. Pia ni ujenzi wake hauna mambo mengi mfano badala yakukata ukuta uweke bomba za wire au maji hizi hutokata bali utapitisha kwenye yale matundu
Hapana mimi sio fundi, ni Mhandisi. Niko na kaproject nataka kutumia hizi tofali, nimeanza kuwekeza kwenye machine ingawa bado haijaisha.Mkuu asante kwa maelezo,wewe ni fundi?kama ndio tuwekee namba yako hapa
Mwanza?Kuna jamaa mza anavyatua hayo matofali! 500/=!
@STUNTERUkonga
Yeah, Mza!Mwanza?
Sehemu ganiYeah, Mza!
Kitu kingine covering area, kama sikosei ili tofali moja linaingia mara 3.45 ya tofali la block, ukizidisha x 500=1725 + (usafiri)=?gharama inapungua kidogo sana maana lazima kuwe na maungio yenye zege kali kwaajili ya kushikilia hayo matofali yasianguke, pia linta lazima iwe kali na ya ukweli vinginevyo ni kujiandalia majanga tu