Habarini za jioni wana forum naomba kujua gharama halisi za Fundi wa nyumba kuanzia hatua ya msingi mpaka boma na kuezeka nyumba itakayo tumia tofali kuanzia 1500 mpaka 2000 nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dinning room nk.

Uko WAP wewe
Na unataraji kujenga full chini mpaka juuu bila kusimamaa?hii itasaidia kutoa gharama halisi kwa FUNDI,any way MAFUNDI wazuri tunao sisi na ni wachapakazi haswaa
Hakuna bei fixed, ni maelewano ila kujiweka safe side gharama za ufundi hazitakiwi kuzidi asilimia 28 za gharama halisi za material ya ujenzi ya nyumba husika