Ujazo wa panton ni upi kivukoni

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Tuna pantoon i mbili kivukoni dsm,,je kila moja inabeba watu wangapi na magari mangapi?tani ngapi?
 
sp far hakuna restrictions
zinajaza tu hadi wanapoona inatosha kwa macho
 
Back
Top Bottom