..hivi "used items" al'maarufu kama mtumba lazima zitoke majuu?.. (Au labda kuna mtumba wa hapa hapa BONGO nami sijui).. BTW nimeamua kuwa mjasiriamali wa vitu used vya hapahapa kwetu
.
..karibuni muanze kusupply pamba zenu zilizoanza kuchoka, zilizokua oversize, undersize n.k.
Sio kila siku unasikia ooh, mtumba orijino wa UK, sijui UFARANSA . . Sasa ivi ni mtumba "orijino" kutoka bongo
BEI MAELEWANO.
Tahadhari: Saint Ivuga usije ukaleta lile tambara/dekio lako limeanikwa "samwea"..
Kuna watu wana nguo nyingi sana na viatu havitumiki miaka nenda rudi......kuna vibaka huwa wanaanua nguo na kuziuza na watu wananunua.
Ukipeleka vijijini utapata soko kubwa
Kuna watu wana nguo nyingi sana na viatu havitumiki miaka nenda rudi......kuna vibaka huwa wanaanua nguo na kuziuza na watu wananunua.
Ukipeleka vijijini utapata soko kubwa
Nilikuwa mcheza shoo wa Pepe Kale enzi hzo.
Kwa hyo yale mapensi nyanya ya kazi na misulupwete ya kale ndo ninayo.
Afu kama kawa,nilimuibiaga bosi wangu PK, nguo zake.
Sa ndo naziuza.
Tatizo la mtumba wa bongo unakuwa mtumba squared! Yaani nanunua mtumba, nautimbaaa weeh then nakuletea uufanye mtumba!
Hapatoshi. Sawa na gari ya mtumba ya bongo. Unahamia gereji bila kujijua.
Mkuu Judgement kuna zile pamba ulizokua nazo kabla hujapata 'kibarua'. Nyingine naamini bado zipo poa sema kibarua kimekufanya ujenge shavu aka 'ndambi' so zinakubana. Au unashindia mkate ili uwe 'modo' so zinapwaya. We zilete hizo upunguze msongamano kwa kabati!
Tatizo la mtumba wa bongo unakuwa mtumba squared! Yaani nanunua mtumba, nautimbaaa weeh then nakuletea uufanye mtumba!
Hapatoshi. Sawa na gari ya mtumba ya bongo. Unahamia gereji bila kujijua.