Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,487
- 62,882
ha ha ha ha kujilipua inahitaji ujasiri mkuuJapokuwa umeandika kama yule waziri wa________ yaani inakuwa tabu kusoma sana ila ushauri ni kwamba kula hiyo pampuchi,mbunye(gidhinyaku) mzee kusoma hujui hata picha huoni??
Hasa wauza ujiIla miaka ya sasa naona wadada wauza uji, viatu na vikitu vidogo vidogo wazuri kweli kweli hadi napata mashaka ya biashara zao
- Nipo hapa mjini nashangaa shangaa mazingira,ila nimefikia kwenye hotel x;Siku 2 zilizopita chumba kilichojirani na chumba changu alikuja mgeni mmama mtu mzima....sasa baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu na kurudi hapo hotelini,na nilipoanza kufungua chumba yule mmama akaniita;akaniambia kijana huu mlango wangu haufungi vizuri hebu jaribu kuufunga....nikatoa ushirikiano ukafungika.
- Jana usiku nipo restaurant napiga bia kwenye muda wa saa tano....akaibuka tena na kuomba nimpe offer ya bia nikafanya hivyo;leo nikaamua niende viwanja vya nje,wakati naagiza mahitaji yangu muhudumu akaniomba tukae meza moja,nami nikamkubalia;bahati mbaya na yule mmama alikuwa kwenye hicho kiwanja....baada kama ya dakika kadhaa yule mmama akaja kutupa salamu na kusema jirani upo huku;mi kwa sababu niko mchangamfu nikamjibu nimekuja kubadilisha mazingira....yule muhudumu akashangaa na kuniuliza,umemjuaje huyu?
- Nikamuambia tuko naye hotel moja....jibu alilonijibu ni kuwa huyo mtu anatoka mkoani na huwa anakuja mjini kwa ajili ya kuuza k,na huwa anachukua vyumba kwenye mahotel na akimpata mtu lazima alipe garama zote.Hapo ndipo nikajua katika haya maisha kila mtu ana mikakati yake.Anatumia mapenzi kama fursa,we mwanaume kuwa makini.
ha ha ha Mkuu nikumbusheKauli mbiu ya "Mabaharia umeisahau? "
Au hukuwepo kikaoni?
Ha ha ha haHatumii mapenzi.
Sema anatumia papa yake
Ha ha ha ha ningekuwa kama kuku aliyetolewa manyoya yote na kutelekezwaHahaha...bado nawaza kwa sauti,usingeambiwa ingekuaje?
Mkuu we acha tu,haya mambo inabidi kuwa makini nayoSo ulikuwa hujashituka kama alikuwa anakufuatilia wewe..
Hasa wauza uji