Ujasiri wa mwanamke

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,794
15,763
Wakuu habarini za jioni na za weekend pia.
Natumai wengine mpo maeneo mkimwagilia mioyo kufurahia maisha,Leo nimekaa nimewaza ujasiri ambao mwanamke anao..
Ningumu sana hii kwa upande wetu wanaume kuwa nao mfano:

Mwanamke mmefahamiana mtandaoni mkaanzisha mahusiano yani (long distance relationship) kwa muda mkahitaji kuonana let's say wewe upo D.salaam mwanamke yupo arusha anatoka huko tu kuja dar kumfata mtu ambae hamjui yupoje kitabia,kimaumbile, yani inshort..

Wanafahamiana juujuu tu kwa picha na kadhalika nimewaza huu ujasiri wanawake huwa wanautoaga wapi? Ni ngumu uje kuskia mwanaume katoka mkoa A kwenda mkoa B,kafikia geto la mwanamke akawa comfortable kabisa na usingizi kauchapa! Tunasemaga ni dhaifu ndio lakini pia ni majasiri sana hawa watu.
 
Na wewe mwanaume huo ujasiri wa kumpokea mwanamke ambaye humjui unautoa wapi..? What if amesafiri kwa lengo baya juu yako..? Umewahi kusikia habar za Serial Killers..? 😎 Hawa wanapiga matukio ya mauaji hadi waje wakamatwe inachukua miaka mingi na wanakua wameua watu wengi, kwasabab wanatumia akili sana...
Kwahiyo unavyo shangaa huo ujasiri wa mwenzako, jishangae na wewe huo ujasiri wa kumpokea...
All in all lengo lenu ni mapenz kwahio hakuna cha ajabu enjoy
 
Na wewe mwanaume huo ujasiri wa kumpokea mwanamke ambaye humjui unautoa wapi..? What if amesafiri kwa lengo baya juu yako..? Umewahi kusikia habar za Serial Killers..? Hawa wanapiga matukio ya mauaji hadi waje wakamatwe inachukua miaka mingi na wanakua wameua watu wengi, kwasabab wanatumia akili sana...
Kwahiyo unavyo shangaa huo ujasiri wa mwenzako, jishangae na wewe huo ujasiri wa kumpokea...
All in all lengo lenu ni mapenz kwahio hakuna cha ajabu enjoy
Ni kweli ila hadi amepanga kuja kukufyekea kwako basi jua ulikuwa on target.mtu hawezi toka huko tu akaja kukuua.bila sababu mkuu
 
Na wewe mwanaume huo ujasiri wa kumpokea mwanamke ambaye humjui unautoa wapi..? What if amesafiri kwa lengo baya juu yako..? Umewahi kusikia habar za Serial Killers..? 😎 Hawa wanapiga matukio ya mauaji hadi waje wakamatwe inachukua miaka mingi na wanakua wameua watu wengi, kwasabab wanatumia akili sana...
Kwahiyo unavyo shangaa huo ujasiri wa mwenzako, jishangae na wewe huo ujasiri wa kumpokea...
All in all lengo lenu ni mapenz kwahio hakuna cha ajabu enjoy
📌🔨
 
Ni risk lakini huwaga mnakua very relaxed+comfortable kwa asilimia zote
Ni kweli,but nashauri kabla ya kusafiri kuelekea kuonana na mtu usiyemfahamu ni vizuri kuaga kuwa unaelekea wapi na unaenda kuonana na nani. na ukishafika uendako wajulishe nishafika,nipo sehemu fulani.

Wabaya ni wengi sana kwa zama hizi.
 
Hilo ndo la muhimu haswaaah! Ila huwa nawfikiriaga sana nyie mnakuag na ujasiri upi maana mara nyingi nyinyi ndio huwa mnatufataga.
 
Back
Top Bottom