Ujambazi Dar waanza kwa kasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujambazi Dar waanza kwa kasi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee2000, May 20, 2010.

 1. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  20th May 2010
  [​IMG] Yalifunga mitaa usiku saa mbili

  [​IMG] Yakapora duka moja moja
  [​IMG] Yakaua raia wawili kwa risasi

  Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika eneo la Vingunguti Faru, jijini Dar es Salaam, wakati wa shughuli za mazishi ya miili ya mfanyabiashara, Fadhili Adam na mganga wa tiba za jadi aliyefahamika kwa jina moja la Musa, waliouawa kwa kupigwa risasi na majambazi.
  ----------------------
  Mwema alipopewa ukamanda wa mkoa wa Dar alisaidia sana kutuliza vitendo vya ujambazi.Lakini sasa naona majambazi wameanza tena.

  Yaonekana mwema ameshindwa kazi.

  Serikari ifanye nini?

  Source: Ipp media 20/05/2010


   
Loading...