Kwani sasa hivi kuna zuio gani oman wasiwape msaadaHuyo jamaa sijui anaongea nini! Wamewatenga sana wazanzibari halafu wanadai wanawasaidia, wakati misaada mingi inatoka Oman,, na wanajua fiika wakiwaachia waomani wataipa sapoti kubwa sana na itakuwa tishio ndani ya Afrika.
Sent using Jamii Forums mobile app