Nawalipa gharama za simu yao. Lakini wao wanataka kuchukua resources zetu kwa wizi.Mkuu acha kutumia simu nayo ni ya wazungu pia huoni wanakuibia pesa
Ubeberu maana yake wizi! Kuiba ni kuiba hata kama ni kwa kutumia jina la 'uwekezaji' na kuwa 'modern' haina maana kukubali kuibiwa mchana kweupe. uhu sio 'usasa' bali 'ulofa'Mataga utapata tabu sana usipo kubali kubadilika. Falsafa nyingi za magufuki zilikuwa ni outdated! Hii ni Karne ya 21 moja! Ni karne ya Utandawazi! Ni kituko mtu upo kwenye karne ya 21, lakini mawazo yako yapo karne ya 20!
You made me smile!πFYI bila ya Mwenyezi Mungu na Patners wake wazungu maisha yatakuwa kama Somalia!
Kumradhi jamani.
π π πZamani tukiwaalika Mashehe na Wachungaji kufungua vikao kwa sala na dua, sasa ni mwendo wa salamu kwa jina la Jamhuri yaTanzania!
Sio simu zote wanatengeneza wazungu halafu simu wanauza mtu ananua na biashara imeishia hapo.Mkuu acha kutumia simu nayo ni ya wazungu pia huoni wanakuibia pesa.