Aiseee
I need psychological counseling
Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka
Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Kiufupi achana nae..jibu alilo kupa linatosha kukueleza kwamba anampenda mwingine na si wewe tena.Habari
Ni kijana 25-27 years
Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.
Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.
Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.
Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.
Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.
Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.
Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.
Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?
Asanteni.
Acha ujinga..muache mala mojaAiseee
I need psychological counseling
Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka
Kumuacha ndo mtihani mwingine.
She told me she want to be aloneKiufupi achana nae..jibu alilo kupa linatosha kukueleza kwamba anampenda mwingine na si wewe tena.
Chukua maamuzi chap ili siku moja aelewe wewe ulikua ni mwanaume,acha kulia lia...mwanaume ni mtu mwenye thamani sana kwa dunia ya sasa
Usijali broAcha ujinga..muache mala moja
Chuo ni kutafuta elimu sio mapenzi wwAkili imegota mpaka nimekuja hapa
Help me.
Nilishamamizana na chuo kitambo mkuuChuo ni kutafuta elimu sio mapenzi ww
Na si kweli kwamba anahitaji kua peke yake! Bila kujua alichofanya kwa nini hakukwambia anahitaji kua peke yakeShe told me she want to be alone
She want to be busy with studies
And she need time .
So nimeamua kuachana nae
Hivi kuna wanaume bdo wanapenda hv?wanaumia sababu ya mapenzi?basi mm ntakuwa mtu wa ajabu sana maana huyo moyo sinaga
Nshadet na wanawake zaidi ya 10+.. weupe weusi wenye chura,wembamba...wenye sura kali,wenye sura za kawaida ila SIJAWAHI kumpenda hta mmojawapo tho nilikuwa nawajali...sio kupenda
Kuna mmoja juzi kati hapa nimeenda kwake sasa maongez maongez tukaishia kudinyana,sasa wkt nimepumzika nipate nguvu ya kusepa,kakaja kabwana kake huko kakaingia ndani kakagonga mlango..yule manzi kufungua mwanamme moja kwa moja ndan..alivyonikuta kitandan akaanza kulia..manzi asianze kumkana...mm nikajikuta nacheka nikavaa nikasepa zangu like nothing happen..yule manz akipiga simu napokea vzr tu na namuulizaga,vp,mume mwenzangu hajambo
Asante mkuuMsikilizishe wimbo wa nenda salama wa Mac voice,,then tulia!! Muombe Mungu maumivu yataisha,Najua unapitia kipind gan maana na mm niliyapitia hayo!! Jiweke bsy futa kumbukumbu zake zote !!
Mungu mwema Mungu atatulipiaAsante mkuu
Nimejikuta hata michepuko siitaki Tena
Vijinga sana hivi vibintiNa si kweli kwamba anahitaji kua peke yake! Bila kujua alichofanya kwa nini hakukwambia anahitaji kua peke yake
Yaani kua na mwanamke chuoni ni hatari sana maana mimi nimepitia hiyo maisha ya wadada walioko chuoni,ni washenzi wa kufa na wakija mtaani baada ya kugongwa na maisha na kazi ngumu ya kupata ajira hua wanarudi tena kututafuta,mimi hapa nina mmoja alinileteaga swaga za hivyo hivyo nikamuacha,kamaliza chuo na ameolewa,aliyemuo nadhani maisha hayapo poa sana na ni jambo la kawaida,yeye mwenyewe huyo mwanamke wa kipare hajapata kazi mwaka wa tatu sasa toka atoke chuoni,ana ki saloon cha kike mtaani. Ananitafuta kila wakati,na hata hapa ninapoandika ujumbe huu amenitafuta siku tatu tu nyuma akiomba tukutane
.Mwanamke mwenzangu anaetoa mimba namchukulia tu kama muhuni.....achana nae huyo bro ameshakuchoka tena sana anatafuta njia kukuacha.....madem wapo wengi sana sana tena wanaojielewa.....sa hv tulia usikurupuke kutafuta mwanamke haraka....kaa tulia kweli kweli utapata tu mwanamke anaejielewaHabari
Ni kijana 25-27 years
Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.
Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.
Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.
Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.
Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.
Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.
Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.
Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?
Asanteni.
Hahahaha acha kujifariji kijana. Wewe kama unampenda endelea kuwa naye tu ila usitufanye na sisi kama wewe. Sie akili bado tunazo.Update
Nashukuru kwa michango yenu na ushauri wenu
Nimefanikiwa kumrudisha huyu mwanamke kwenye himaya yangu
Na utafiti wa ki- IT nilioufanya, nimegundua hakuna mimba yoyote iliyotolewa ila ilikua Ni mkakati wa kunirudisha katika msitari na kunifanyia niachane na michepuko mingine
Nawashukuru nyote
NB: Tuwapende wanaoonesha kutupenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kutuchezea akiliHahahaha acha kujifariji kijana. Wewe kama unampenda endelea kuwa naye tu ila usitufanye na sisi kama wewe. Sie akili bado tunazo.