Leo nilikuwa nafatilia ibada ya mtumishi mwamposa kwenye ibada maalum ya ukombozi...nimeona asilimia 99.9 walio akunguka na kukimbilia madhabauni kwa mapepo ni wanawake...Je kuna uhusiano gani mapepo na wanawake....kwann wanawake wengi wanakumbwa na hayo mapepo
Kanisan au msikitin kuna nguvu za kukidhana zinawachoma mapepo
Sasa watoto wachanga wanaojinyea na kujikojolea usafi wao uko wapi,wazee hvyo hvyo ni wachafu mno wanatema tema hovyo na kula maugolo,wengine pia hujikojolea
Ndivyo asili ilivyo, rudi kwenye Biblia, jiulize ni kwa nini shetani hakutaka kumrubuni mwanamme Adam, ila alimrubuni mkewe? Na maandiko mengi, utagundua loophole iliyopo kwenye kiumbe aitwaye Mwanamke
Kanisan au msikitin kuna nguvu za kukidhana zinawachoma mapepo
Sasa watoto wachanga wanaojinyea na kujikojolea usafi wao uko wapi,wazee hvyo hvyo ni wachafu mno wanatema tema hovyo na kula maugolo,wengine pia hujikojolea
Kanisani au msikitini kuna nguvu kinzani KWA maana ya usafi wa spiritual
Halafu watoto wadogo wanaojinyea na kujikojolea usafi wa mwili? Kwani ni usafi wa roho au usafi wa mwili?