Tangu niingie chuo naona luna uhusiano mkubwa san kati ya hii bank na loan board. Hii ni wazi kwa sababu watu wa Crdb hutangulia kupata hela kuliko bank nyingine but inabore pale transactio inavyochukua hadi week wengine kupata hiyo hela. Hivi ni kweli board huandika cheque za Crdb tuuuuuuuu ? I wish all of us could be getting that money the same time.
Loan board inamiliki a/c crdb so wao wanaandika cheque za crdb ambozo wenye kumilikia a/c huko clearance yake huwa ni siku moja ila kwa bank nyingine huwa ni 5 working days.
Loan board inamiliki a/c crdb so wao wanaandika cheque za crdb ambozo wenye kumilikia a/c huko clearance yake huwa ni siku moja ila kwa bank nyingine huwa ni 5 working days.