miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
nyie baba namwana mnamambo
usijali kidogo
nyie baba namwana mnamambo
Kapate ushauri kwa daktari
usijali kidogo
Kwa hiyo huyo binti ndo kakuhadithia hayo wewe? Ama kweli Mulugo katuachia majanga!
ndio ameni hadithia unaweza ukashindwa amini lakn kweli kabsaa na naomba uelewe kuwa wao wanatatizo ktk mahusiano yao ivyo ilikutatua nilazima kuomba ushauri naili mtu akuelewe zima umwambie kinacho kusibu
Mmezoeana sana aisee
dah! Huyo jamaa anafit sana kwenda kule kwa mswati kukagua bikra