Maamuzi ya kisiasa yanaweza sababisha biashara zikue ama kufaWatu wengi hasa vijana wamekua wakipinga kwanguvu na kwa lugha ngumu na msisitizo kuwa Bandari isipewe wawekezaji.
Je kuna uhusiano kuwa wengi wao na ndugu zao wananufaika na ajira za Bandarini na mishe mishe za pale ambazo wanahisi muwekezaji itakua ndo mwisho wa wao kula?
Je ukosefu wa ajira unachangia?
Je vijana wanapaswa kuwaamini wasiasa wanaoitumia fursa ya sakata hili kujinasibu kua ni wazalendo?
Je yupo mtanzania ambaye anaweza kua na UCHUNGU wa kweli pasipo kuhusisha TUMBO katika kutetea RASLIMALI za nchi?
Ni hayo.
YES, na Kwa nchi yetu maamuzi ya Rais yanaakisi sana maisha halisi ya wananchi wake.Utashangaa watu wanaandamana eti mwenyekiti wa kijiji aondoke madarakani lkn hauwezi kusikia wameaandamana juu ya mahamuzi mabovu ya Rais au watendaji wake.Maamuzi ya kisiasa yanaweza sababisha biashara zikue ama kufa
Tunaishi kwenye jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti inayosikikaYES, na Kwa nchi yetu maamuzi ya Rais yanaakisi sana maisha halisi ya wananchi wake.Utashangaa watu wanaandamana eti mwenyekiti wa kijiji aondoke madarakani lkn hauwezi kusikia wameaandamana juu ya mahamuzi mabovu ya Rais au watendaji wake.
Je,unadhani wanaomtetea rais ktk hili hawasukumwi na njaa zao na kujipendekeza kwao??je unadhani wanamtetea rais kwa dhati au maisha magum na ukosef wa ajira vinawasukuma kiasi Cha kutaka dhambi itetewe na itakaswe hadharani??unadhan Ni wazalendo wa kweli au tayari wanapanga namna ya kujiingiza kwny kundi la wachache wanapanga kunufaika na keki yetu huku sie tukisubir ukoko???Watu wengi hasa vijana wamekua wakipinga kwanguvu na kwa lugha ngumu na msisitizo kuwa Bandari isipewe wawekezaji.
Je kuna uhusiano kuwa wengi wao na ndugu zao wananufaika na ajira za Bandarini na mishe mishe za pale ambazo wanahisi muwekezaji itakua ndo mwisho wa wao kula?
Je ukosefu wa ajira unachangia?
Je vijana wanapaswa kuwaamini wasiasa wanaoitumia fursa ya sakata hili kujinasibu kua ni wazalendo?
Je yupo mtanzania ambaye anaweza kua na UCHUNGU wa kweli pasipo kuhusisha TUMBO katika kutetea RASLIMALI za nchi?
Ni hayo.
Hao wananchi wana uelewa kiasi gani kuhusu uwezo wao wa kuandamana kumpinga Rais?Wamekuzwa,kuaminishwa na kuishi kwa kuambiwa nguvu ya Rais kwa kiwango kipi?Wanamlinganishaje Rais na mwenyekiti wa mtaa au kijiji?Vipi kuhusu nia na uwezo wao juu ya maamuzi kuhusu Rais?YES, na Kwa nchi yetu maamuzi ya Rais yanaakisi sana maisha halisi ya wananchi wake.Utashangaa watu wanaandamana eti mwenyekiti wa kijiji aondoke madarakani lkn hauwezi kusikia wameaandamana juu ya mahamuzi mabovu ya Rais au watendaji wake.
Watanzania wengi si hatupendi maandishiJe,unadhani wanaomtetea rais ktk hili hawasukumwi na njaa zao na kujipendekeza kwao??je unadhani wanamtetea rais kwa dhati au maisha magum na ukosef wa ajira vinawasukuma kiasi Cha kutaka dhambi itetewe na itakaswe hadharani??unadhan Ni wazalendo wa kweli au tayari wanapanga namna ya kujiingiza kwny kundi la wachache wanapanga kunufaika na keki yetu huku sie tukisubir ukoko???
Wabongo tunajali "nimekula nimeshiba mim na familia yangu" hata wanaonyonya Bandari wanatetea kwa maslahi hayo.Hao wananchi wana uelewa kiasi gani kuhusu uwezo wao wa kuandamana kumpinga Rais?Wamekuzwa,kuaminishwa na kuishi kwa kuambiwa nguvu ya Rais kwa kiwango kipi?Wanamlinganishaje Rais na mwenyekiti wa mtaa au kijiji?Vipi kuhusu nia na uwezo wao juu ya maamuzi kuhusu Rais?
Elewa kilichoandikwa mkuu, maisha ya mtanzania yanategemea sana na maamzi/sera za rais aliyoko madarakani, kubali au kataa, sera au maamuzi ya Rais yakiwa mabaya lazma mwananchi wa chini aathilike, kubali au kataa lkn huo ndio uhalisia.Hao wananchi wana uelewa kiasi gani kuhusu uwezo wao wa kuandamana kumpinga Rais?Wamekuzwa,kuaminishwa na kuishi kwa kuambiwa nguvu ya Rais kwa kiwango kipi?Wanamlinganishaje Rais na mwenyekiti wa mtaa au kijiji?Vipi kuhusu nia na uwezo wao juu ya maamuzi kuhusu Rais?
Ndivyo ulivyoandika.Umewahi kujiuliza kama ni haki na halali wananchi kutegemea maamuzi ya Rais badala ya kuegemea katiba isiyo na mawaa?Yupi awe juu na muamuzi?Katiba bora ya nchi au maamuzi ya Rais?Elewa kilichoandikwa mkuu, maisha ya mtanzania yanategemea sana na maamzi/sera za rais aliyoko madarakani, kubali au kataa, sera au maamuzi ya Rais yakiwa mabaya lazma mwananchi wa chini aathilike, kubali au kataa lkn huo ndio uhalisia.