Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
kenya wanapiga campain za uhakika sijaona sahani la wali au yale mafuso ya kubeba watu ili waje kwenye mkutano. vyama vya upinzani kuna kitu cha kujifunza kwa wenzetu, unajua campain nzuri na smart pia inaushawishi mkubwa sana wa kushinda maana kizazi cha leo mkituletea wali tutakula na hatukuchagui kabisaa, na kitu kingine kwenye mdahalo sio siri hawa jamaa niliwapenda hawatoi matusi, hawapanic kabisa wanajibu kwa hoja na mwandishi wa habari alikuwa anatwanga kote kote sio wakina kibonde
Kule Bongo wananunuliwa kwa Sahani ya Pilau, aisee kumbe mambo bado sana kule.