Uhuru wa habari, kujieleza ndiyo chachu ya utekelezaji haki za binadamu nchini

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
human rights.jpg

Wadau hao wamesikitishwa na taarifa za serikali kuyakataa mahitaji yao, huku watetezi wa haki za wanawake wakiitaja Sheria ya Ndoa kama inavyobainishwa na Katiba ya mwaka 1977, kifungu cha 13 na 17, ambayo inamruhusu msichana kuolewa chini ya miaka 18.

Wanasema Sheria hii imekuwa na misuguano tangu siku nyingi, inamkosesha mtoto wa kike haki yake ya msingi kijamii ya kuingia katika ndoa akiwa na akili timamu na maamuzi yake mwenyewe, hivyo bado pendekezo hilo linarudishwa kwa serikari ili iweze kulipitisha ikiwa ni hatua ya kumpa haki msichana kama ilivyo kwa mvulana.

Soma zaidi hapa=> Uhuru wa habari, kujieleza ndiyo chachu ya utekelezaji haki za binadamu nchini | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom