B benitoc Member Joined Nov 16, 2010 Posts 48 Reaction score 15 Jan 13, 2017 #1 Katika maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika Rais mstaafu aliyehudhuria alikuwa ni Mzee Ruksa pekee. Lakini kwenye maadhimisho ya mapinduzi Mara is wastaafu wote wamehudhuria isipokuwa Rais wa Jamhuri! Binafsi siioni vema. Kunani?
Katika maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika Rais mstaafu aliyehudhuria alikuwa ni Mzee Ruksa pekee. Lakini kwenye maadhimisho ya mapinduzi Mara is wastaafu wote wamehudhuria isipokuwa Rais wa Jamhuri! Binafsi siioni vema. Kunani?
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,694 Reaction score 9,580 Jan 13, 2017 #2 Tutalinda mapinduzi kwa nguvu zote , a matter of life and death -kifo cha muungano ni kifo cha CCM .