Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Apr 18, 2013 #2 Tehe tehe tehe! Yaani Waititu huyu huyu niliyesoma naye kindagaten?
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Apr 18, 2013 #3 Mwana Mtoka Pabaya said: Tehe tehe tehe! Yaani Waititu huyu huyu niliyesoma naye kindagaten? Click to expand... Wewe siulikimbia umande ukiwa darasa la pili? Imekula kwako sasa!
Mwana Mtoka Pabaya said: Tehe tehe tehe! Yaani Waititu huyu huyu niliyesoma naye kindagaten? Click to expand... Wewe siulikimbia umande ukiwa darasa la pili? Imekula kwako sasa!
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Apr 18, 2013 #4 LexAid said: Wewe siulikimbia umande ukiwa darasa la pili? Imekula kwako sasa! Click to expand... Umekosa. Mimi na Waititu wote tuliishia kindagaten. Kwa kuwa tulikuwa majiniaz, tulipewa tu vyeti vya chuo na kuambiwa twende nyumbani.
LexAid said: Wewe siulikimbia umande ukiwa darasa la pili? Imekula kwako sasa! Click to expand... Umekosa. Mimi na Waititu wote tuliishia kindagaten. Kwa kuwa tulikuwa majiniaz, tulipewa tu vyeti vya chuo na kuambiwa twende nyumbani.