Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 433
Amani iwe kwenu wana JF
Ngao ya Taifa letu imebabe maneno mazito sana ambayo tunashindwa kuyazingatia na kuyafanyia kazi.
Kukiwa na UHURU na UMOJA utakuepo, kimoja kikikosekana kingine kinakua hakina maana.
Je, haya Maneno yanazingatiwaaaa?
Tanzania inasifika duniani kama kisiwa cha amani, Tunashukuru mungu kwa hilo lakini swali la kujiuliza je Watanzania wana Amani ya mioyo yao, majibu yatakua ni mengi bila shaka.
Nawasilisha.
Mahw Jr.