Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Niaje watunguyas JF, Watanzania sasa mhamie Kenya kabla hamjanza kukatwa mashingo na huyo uchwara wenu.Ama sijui kama Kenyatta atawasaidia kupitia kwa ndugu na babaetu Lowasa
Hao Chadema hata ofisi yao ya makao makuu imewashinda halafu ndio unaleta pumba hapa eti wana sera endelevu,labda siasa endelevu ya kuiba mashamba,richmond.kutapeli majengo,kupendeleana kwa rushwa za ngono.Hakuna chama cha hovyo kama Chadema,Chadema buure kabsa
Wewe mfianchi bado unasubiri kufia hiyo nchi tafadhari nijulishe tarehe nisije kosa mazishi yako.
 
Back
Top Bottom