Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Kenyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
414
313
86615e47d6fe1027cf4cb7afc77dd5a3.jpg

1346652d6945df190e0dee82b368a102.jpg


efa534caa20991247ab93d961877dd2b.jpg


3e0668aaab4d437c7ae31f0ae0800907.jpg



========​


Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati aemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Mshindi wa kiti cha Urais.

Rais Mteule Uhuru Kenyatta kutoka Chama Cha Jubilee ametangazwa kuwa Mshindi baada ya kupata kura 8,203,290 huku mpinzani wake Raila Odinga kutika Muungano wa Upinzani(NASA) akipata kura 6,762,224.

Uhuru Kenyatta amepata asilimia 54.27 ya kura zote pia ni sawa na asilimia 25 ya kura za kutoka katika Kaunti 35.

Kwa kura zilizopigwa nje ya Kenya Uhuru Kenyatta amepata 52.88% huku Raila Odinga akipata 46.45% ya kura, na Nyaga 0.07%.

  • Nairobi County, Uhuru: 48.55% Raila: 50.85%, Nyaga: 0.18%. Total votes: 2,251,929.

  • Kisumu County, Uhuru:1.96% Raila: 96.64%, Nyaga: 0.27%. Total votes: 539932.
  • Homabay County, Uhuru: 0.49% Raila: 99.34%, Nyaga: 0.11%. Total voters: 496432.
  • Chebukati: Siaya County, Uhuru: 0.66% Raila: 99.11%, Nyaga: 0.14%. Total votes: 459957.
  • Kilifi County, Uhuru: 15.12% Raila: 83.63% Total votes: 32783.
  • Busia County, Uhuru: 12.42% Raila: 86.82%, Nyaga: 0.31%. Total votes: 351087.
  • Bungoma County, Uhuru: 30.21% Raila: 68.3%, Nyaga: 0.49%. Total votes: 559886.

  • Vihiga County, Uhuru: 9.12% Raila: 89.39%, Nyaga: 0.59%. Total votes: 272217.
  • Bomet County, Uhuru: 87.04% Raila: 12.06%, Nyaga: 0.27%. Total votes: 322024.
  • Kericho County, Uhuru: 92.78% Raila: 6.61%, Nyaga: 0.12%. Total votes: 375691.
  • Kajiado County, Uhuru: 57.15% Raila: 42.42%, Nyaga: 0.22%. Total votes: 411267.
  • Narok County, Uhuru: 52.98% Raila: 45.88%, Nyaga: 0.67%.Total votes: 341761.
  • Nakuru County, Uhuru: 84.74% Raila: 14.69%, Nyaga: 0.21%. Total votes: 941971.
  • Laikipia County, Uhuru: 89.11% Raila: 10.37%, Nyaga: 0.15%.Total votes: 246693.

  • Baringo County, Uhuru: 84.78% Raila: 14.57%, Nyaga: 0.13%. Total votes: 232311.
  • Nandi County, Uhuru: 86.84% Raila: 12.49%, Nyaga: 0.18%.Total votes: 346182.
  • Makueni County, Uhuru: 8.24% Raila: 90.57%, Nyaga: 0.52%. Total votes: 423434.
  • Elgeyo Marakwet County, Uhuru: 94.63% Raila: 4.85 %, Nyaga: 0.10%. Total votes: 180979.
  • Meru County, Uhuru: 88.82% Raila: 10.23%. Total votes: 702,776.
  • Machakos County, Uhuru: 17.95% Raila: 80.91%, Nyaga: 0.66%. Total votes: 620363.
  • Tharaka Nithi County, Uhuru: 93.15% Raila: 5.93%. Total votes: 213197.
  • Embu County, Uhuru: 92.01% Raila: 6.99%, Nyaga: 0.02%. Total votes: 309731.
  • Kitui County, Uhuru: 17.98% Raila: 79.90%, Nyaga: 0.06%.
  • Uasin Gishu County, Uhuru: 77.79% Raila: 21.19%, Nyaga: 0.29%. Total votes: 540159.
  • Transzoia County, Uhuru: 44.60% Raila: 54.22%, Nyaga: 0.42%. Total votes: 339715.

  • Samburu County, Uhuru: 49.64% Raila: 49.44%, Nyaga: 0.30%. Total votes: 82794.
  • West Pokot County, Uhuru: 64.61% Raila: 34.50%, Nyaga: 0.32%. Total votes: 188241.
  • Turkana County, Uhuru: 38.91% Raila: 59.87%, Nyaga: 0.42%. Total votes: 191495.
  • Wajir County, Uhuru: 50.98% Raila: 44.15%.
  • Mandera County, Uhuru: 82.88%, Raila: 13.25%.
  • Marsabit County, Uhuru: 83.63%
    Raila: 14.44 %. Total votes: 141730.
  • Kirinyaga County, Uhuru: 98.61%
    Raila: 1.03%, Total votes: 479970.

  • Nyeri County, Uhuru: 98.35% Raila: 1.20%, Nyaga: 0.05%. Total votes: 457197.
  • Nyandarua County, Uhuru: 98.99% Raila: 0.79%, Nyaga: 0.04%. Total votes: 325696.
  • Machakos County, Uhuru: 17.95% Raila: 80.91%, Nyaga: 0.66%. Total votes: 620363.
Chebukati: Tumejifunza mengi kwenye uchaguzi huu ambayo yataimarisha uwezo wetu. Nawashukuru watu wa Kenya, washika dau wetu wa kwanza. Wafanyakazi wetu nchi nzima na familia zao.

Kwa waangalizi wa kimataifa, tunawashukuru kwa kutuunga mkono, Uchaguzi wa 2017 ulikuwa wa haki, tunawashukuru waangalizi kwa ripoti zao za awali. Tunawashukuru kwa uvumilivu wakati tunatoa matokeo kwa hatua.

Wapiga kura waliongea tarehe nane mwezi wa nane na sasa tuko tayari kusema walichoamua.

Nimeambiwa matokeo yanatakiwa kusainiwa, asanteni kwa kuniskiliza na nitarejea kutangaza matokeo.
--------

Mawakala wameshasaini fomu za matokeo na sasa mwenyekiti Chebukati anaweka sahihi kwenye fomu ya matokeo. Hatua ya sasa ni mwenyekiti kuendelea na kutangaza matokeo.
--------

Chebukati: Naomba mniruhusu niendelee na hotuba yangu, kwa mujibu wa nguvu zilizowekwa kwangu na katiba, naomba niwatangazie matokeo.


======

President Uhuru Kenyatta has won a second term in office, garnering 54.2 per cent of votes, according to final results declared by the electoral commission on Friday night.

Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) Chairman Wafula Chebukati declared Mr Kenyatta the winner of the presidential race at exactly 10.17pm EAT.

“He attained 25 percent of votes cast in 35 counties ” Mr Chebukati, the returning officer of the presidential election, said at Bomas of Kenya— the national tallying centre, in the capital Nairobi

The announcement was met with celebrations in the strongholds of Mr Kenyatta’s party, Jubilee, and protests amongst some Nasa supporters.
 
Yes to Uhuru Kenyatta. You have made my weekend. Ngoja nikachukue gomba nusu nikajidunge na shisha hadi majogoo
 
jaluo chali tena, ngoja wakamalizie hasira zao kwenye kamongo wetu ziwani:D:D:D
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom