kiamangwana
Senior Member
- Feb 28, 2015
- 175
- 89
Mpongeze na kuchezea machine za IEBC na kumuua Alberto Msando.Hakika niseme kweli mimi siko upande wako japo mie ni mTZ ninayefikiria kuomba uraia wa kenya lkn ulichofanya kimekufanya uwe mshindi zaidi ya ushindi wa urais,hata ikitokea kura zako zisitoshe fahamu kuwa wewe ni mshindi wa demokrasia, amini usiamini huku TZ umekua habari si kwa kunyang'anya ushindi bali ulivyoweza kuiacha mahakama(majaji) na dola(polisi)ifanye kazi yake bila (maagizo toka juu)hakika wewe ndiye mshindi,huku kwetu duh hata jaji mkuu hakuna aliyepo anakaimu,na bado anaambiwa mimi ndiye nikulipaye mshahara,yaani yanayotokea kenya huku kwetu ni ndoto,hongera baba muigai hata usipotoboa lkn umeikomboa demokras afrika,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndie zezeta na huna akiliAcheni kuwa kama mataahira nyie mazezeta unamsifiaje Uhuru wakati mahakamani imemtia hatiani kupitia tume ya uchaguzi?
Kuweni na akili mnaongea mambo ya kipumbavu kabisa mtu mwenye akili za kuvukia barabara tu hawezi kuongea hivi
Duh we kweli siyo zezeta! Lakini I guess utakuwa nyumbu! Eti mahakama imemtia hatiani Uhuru!!!!!Acheni kuwa kama mataahira nyie mazezeta unamsifiaje Uhuru wakati mahakamani imemtia hatiani kupitia tume ya uchaguzi?
Kuweni na akili mnaongea mambo ya kipumbavu kabisa mtu mwenye akili za kuvukia barabara tu hawezi kuongea hivi
Hamia Kenya uchi huku ukienda kinyume nyume....mie ni mTZ ninayefikiria kuomba uraia wa kenya...
Mahakama ilisema wazi 3rd respondent(Uhuru) hana hatia yoyote na ni wazi alishinda ila iebc haikuandaa uchaguzi kwa kuzingatia katibaAcheni kuwa kama mataahira nyie mazezeta unamsifiaje Uhuru wakati mahakamani imemtia hatiani kupitia tume ya uchaguzi?
Kuweni na akili mnaongea mambo ya kipumbavu kabisa mtu mwenye akili za kuvukia barabara tu hawezi kuongea hivi
Uhuru deserves Mo Ibrahim prize as the best African leader of our times. Huyu anastahili kutunukiwa hii tuzo, among others, NOW na sio kesho baada ya kuachia madaraka. Uhuru is Africa's icon of democracy. Kwa mtu aliyezaliwa, kukulia, na kuishi katika utawala ni nadra mno kuruhusu haya tunayoshuhudia leo. Long live Uhuru Kenyatta. May the Almight bless you. Hujaomba kuombewa ila daima tutakuombea kipenzi chetu.
Sasa kama haijamtia hatiani kwanini imebatilisha matokeo? Imeona kuna hila kwenye tume ya uchaguzi siwezi kukutafsiria wewe kichwa majiDuh we kweli siyo zezeta! Lakini I guess utakuwa nyumbu! Eti mahakama imemtia hatiani Uhuru!!!!!