ni 5-0 kwa dakika 180. Kuna timu hapa bongo iliwahi kuchapwa 5-0 ndani ya dakika 90
utampaje mtu cheo asiekubali ushindi wako?
labda wale wengine na sio Raila Omela
Baada ya kukaa chini na kujadiliana kwa kina kuhusu namna ya uongozi ambao Kenyatta yuko tayari kumpa na yeye Raila kusema kile akitakacho ndani ya Serikali mpya. Wanaweza kuafikiana au la.
Katiba hairuhusu hayo kutokea. Raila lazima akae kwa bench, no way in.
Uhuru asema uchaguzi huo ndio "the most free and the most fair election in the history of Kenya"
Tatizo kubwa la sisi wa afrika ni kukubali kipigo ndo tatizo la msingi. Hili tatizo ni sawa na kusema samahani tunapokosea. Nafikiri linatoka na tamaduni zetu.
Katiba hairuhusu hayo kutokea. Raila lazima akae kwa bench, no way in. Afterall inashangaza kushutumu watu ambao wamechaguliwa kwa mkono wake yeye na rais. Machaguo ambayo hakushilikishwa alikuwa ana protest waziwazi na yanarudiwa, sasa hiii imekaa je?
Inashangaza sana hizo za kuibiwa anazosema ni homa tu.
Yaani wewe ndio umesema kweli, huwezi kwenda kulalamikia mfumo ambao wewe ndio Kiongozi wake, Bw. Odinga ni Waziri mkuu na Bw. Musyoka Makamu wa raisi sasa wanamlalamikia nani, mbona wao ndio viongozi wa Serikali?
Huu ni Uhuni mwingine. Kwani Ocampo si Wakenya wenyewe walimfuata? au poti MkamaP unataka kusemaje?Hii nukuu kutoka CNN, nzuri sana ukitafakuri
Kenyatta knows that he needs the United States and the United States knows it needs Kenya.," she said. "And so I suspect that while it might be awkward, there won't be a significant change in our policy stances toward Kenya or theirs toward us." No faith in the ICC
Analysts say the ICC indictment may have rallied citizens to Kenyatta's side to defy the West.
"Many Africans have lost faith in ICC and view it as targeting African leaders and failing to discharge its justice among non-African leaders in the world," said Ayo Johnson, director of ViewPoint Africa.
"Kenya sent a loud message to the ICC... don't interfere, and it does not matter if you brand our leaders as criminals."
The president-elect's trial starts July 9 while his running mate's is in May.
Hii nukuu kutoka CNN, nzuri sana ukitafakuri

Hio iloshinda 5-0 kwa Dakika 90 inaitwaje?
Teh teh
Atafanya vema kwenda supreme court. Itasaidia kukomesha wizi wa kura kwa nchi zetu za AfriKa. Haiingii akilini kabisa matokeo ya awali tu yalipotolewa difference ya kura ilikuwa 400,000. Na hiyo figure almost imekuwa constant mpaka mwishoni. Kuna kila dalili za mchezo mchafu. Hapa TZ 2015 hatutakubali wizi wa kura utokee ndio maana tumeanza na katiba mpya itayoruhusu matokeo kupingwa mahakamaniOdinga amesema hayatambui matokeo ya urais anaenda supreme court jumatatu asubuhi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Yaani wewe ndio umesema kweli, huwezi kwenda kulalamikia mfumo ambao wewe ndio Kiongozi wake, Bw. Odinga ni Waziri mkuu na Bw. Musyoka Makamu wa raisi sasa wanamlalamikia nani, mbona wao ndio viongozi wa Serikali?
Huu ni Uhuni mwingine. Kwani Ocampo si Wakenya wenyewe walimfuata? au poti MkamaP unataka kusemaje?
Ninakubali kuwa ICC sera zake si thabiti,lakini mharifu anapaswa kupewa haki yake.
Kijakazi,Yaani wewe ndio umesema kweli, huwezi kwenda kulalamikia mfumo ambao wewe ndio Kiongozi wake, Bw. Odinga ni Waziri mkuu na Bw. Musyoka Makamu wa raisi sasa wanamlalamikia nani, mbona wao ndio viongozi wa Serikali?
Tatizo la kukariri vitu. Kenya wana chombo huru cha uchaguzi IEBC si kama ilivyo kwa seikali ya TZ ambayo ndio yenye tume ya uchanguzi. Kwa hiyo kulalamikia mwenendo wa tume ni sawa kwa mtu yeyote yule awe raisi au mkuu wa wilaya.