Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Mgomo wa madaktari na malecture nchini kenya ni pigo kwa Uhuru Kenyata wakati ni Neema kwa Raila Odinga katika mbio za kuwania uraisi nchini kenya. Ule usemi wa kila jambo linafaida na hasara yake umejidhihirisha huko kenya baada ya migomo ya madktari na lectures wa kenya kuonesha ni pigo kubwa kwa bwana Uhuru kenyata kutokana na wakenya kuona kwamba migomo hii hutokana na uongozi mbovu wa Raisi huyo wa kenya na kumpa bwana Raila odinga nafasi kubwa ya kupata kura nyingi zitazosababishwa na mgomo huo kwani imefanya watu wakose matumaini na imani na uwezo wa kiutawala wa Rais Uhuru kenyata