Kweli kwa 'mrejesho' a.k.a feedback ya nguvu ya umma ikisomwa na katibu wa uenezi wa CCM Ndg Nape, Mwenyekiti Taifa CCM, Kamati Kuu CCM, Mhariri gazeti la Uhuru, Mkurugenzi kituo cha TV TBC na magamba wengine wote kweli sasa hakuna mtu anayedanganyika.
Mambo yote sasa ni M4C na anayesikilizwa na umma ni chama cha ukombozi CDM. Peoples' power kweli imeteka nchi bado kuingia pale Magogoni kuinua hali za wananchi ziwe bora na siyo kwa ahadi hewa zisizotekelezwa na magamba.