UHURU: CHADEMA yapasuka

Huo ni utumbo. Kuna idadi gani ya wananchi hadi Slaa atake kuwaona watu wengi?Huo mji una watu milioni?Acha ujinga wewe na chanzo chako cha habari hizi.

Unapotoka povu na maneno ya kashfa, unayaelekeza kwa nani?

Angalia source, acha jazba, kuwa mstaarabu.
 
nimeisikia kwenye gazeti la magamba la uhuru....this is magamba kazini...
 
Mods tendeni haki.Hii habari haijatoka Nipashe.Source yake ni gazeti la uhuru na kuna thread ya Fmpiganaji inazungumzia habari za CDM.Huyu Ngoromiko achukuliwe hatua kwa kutoa skurceya uongo
 
Sioni tatizo, kumbe wametofautina misimamo nilidhani wamechukuliana Wanawake kama CCM kule TBR

story yenyewe haieleweki mara wametimuliwa mara walitaka timuliwa na slaa
 
ccm kwa kuchonga tu hamjambo

Mods tendeni haki.Hii habari haijatoka Nipashe.Source yake ni gazeti la uhuru na kuna thread ya Fmpiganaji inazungumzia habari za CDM.Huyu Ngoromiko achukuliwe hatua kwa kutoa skurceya uongo
 
Mods tendeni haki.Hii habari haijatoka Nipashe.Source yake ni gazeti la uhuru na kuna thread ya Fmpiganaji inazungumzia habari za CDM.Huyu Ngoromiko achukuliwe hatua kwa kutoa skurceya uongo

Wewe ndo mwongo na mvivu wa kufikiri.
Nenda website ya IPP MEDIA utaikuta kama ilivyo hapa.
 
Yaani unaona aibu kutaja source ni uhuri.duh mnalionea aibu gazeti lenu la Chama.hahaha
 
Sioni tatizo, kumbe wametofautina misimamo nilidhani wamechukuliana Wanawake kama CCM kule TBR

Mods tendeni haki.Hii habari haijatoka Nipashe.Source yake ni gazeti la uhuru na kuna thread ya Fmpiganaji inazungumzia habari za CDM.Huyu Ngoromiko achukuliwe hatua kwa kutoa skurceya uongo
 
Yaani unaona aibu kutaja source ni uhuri.duh mnalionea aibu gazeti lenu la Chama.hahaha

Unataka nitaje source ya uongo?

Tatizo wanazi wa CDM wanataka siku zote habari zinazohusu chama hicho ziwe na manukato mazuri tu. Zinapokuwa na uvundo wanashindwa kukubali ukweli.

Waweza kujiridhisha kwa kutembelea IPP MEDIA.
 
Acha uongo hakuna habari kama hiyo.Jamvi limevamiwa na waongo
 
Magwanda nyie ni kaskazini tu, Kusini sahauni. Mtatoana roho bure.

Mmesikia kuna gesi ya kufa mtu huko ndio mnajidai kujipeleka?

Ukiona hivyo ujuwe kila mtu analake na hapo ndio walipopatia nafasi ya kupumulia. Kimeshanuka huko. Mzee Mtei hataki Slaa agombee tena Urais na Slaa anahakikisha anaweka timu yake itakayomtetea wakati ukifika. Mbowe kastukia, "mpaka kieleweke" .
 
Kutofautiana ni jambo la kawaida na wala si Ugonvi. Huyu mleta mada pamaoja na huyo mwandishi ni wapashkuna. Wanataka Mbowe na Slaa wasitofautiane kwani wana akili moja au wamekuwa wabunge wa magamba ambao wanaunga mkono kila jambo la Magamba hata kama ni kuuza nchi. Non sense!
 
Ondoa uongo hapa.Gazeti ninalo na hiyo habari haipo

Mimi sina gazeti, ila nimelisoma kwenye mtandao na hiyo habari ipo.
Unaona uvivu gani kutembelea IPP MEDIA ujiridhishe na povu mdomoni likauke?
 
Mpwa naona umeni-quote mbona mie sio Mod? asante kwa kunipandisha cheo
Mods tendeni haki.Hii habari haijatoka Nipashe.Source yake ni gazeti la uhuru na kuna thread ya Fmpiganaji inazungumzia habari za CDM.Huyu Ngoromiko achukuliwe hatua kwa kutoa skurceya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…