Mbona sioni upigaji hapo nenda shuleni ukaeleweshwe kuhusu matumizi ya hiyo michango
Kawaida serikali inaajirigi wapishi wawili kila shule wengine shule lazima itafute vibarua kutokana na michango ya wanafunzi ndio maana nikakushauri nenda shuleni kwa maelezo zaidiHakuna kueleweshwa hapo,au we mwalimu wa pale nini,michango haina maana.mfano vibarua gani wakati serikali inatoa pesa kila mwezi kilipa wapishi pamoja na walinzi?
Rubbish, sasa mnajitapa na nini na upuuzi wa elimu bure!Kawaida serikali inaajirigi wapishi wawili kila shule wengine shule lazima itafute vibarua kutokana na michango ya wanafunzi ndio maana nikakushauri nenda shuleni kwa maelezo zaidi
Mimi sio serikali ndugu yangu ni raia Kama weweRubbish, sasa mnajitapa na nini na upuuzi wa elimu bure!
Unamwambia mtoto alipe hela ya majaribio wakati huo ameshalipa hela ya Taaluma,sijui wanamanisha nini au hiyo hela ya taaluma inafanya kazi gani
Mwezi umeanzaSalaam wakuu
Habari za miangaiko ndugu zangu,kuna hili suala la shule za serikali hasa za kidato cha tano na sita kuamua bila kuzingatia kipato cha wazazi kuweka michango mingi isiyokuwa na ulazima.Mfano Shule ya sekondari Chato iliyopo wilaya chato,mwanafunzi anaambiawa alipe hela ya taaluma 20000, hela ya vibarua 30000, hela ya majaribio 10000, hela ya ukarabati 15000 kwa uchache. Hivi kama siyo upigaji huo ni nini, Serikali angazieni hizi wanafanya vitu vya eti kwa sababu siyo elimu bure wanarundika michango mingi isiyokuwa na uhalali wowote.
Hapa chini nimebatanisha fomu ya mwanafunzi iliyotumwa kwa mzaziView attachment 1312444
Na wewe unaamini kuna elimu bure?Rubbish, sasa mnajitapa na nini na upuuzi wa elimu bure!
Elimi ni gharama.wewe lipa tuuSalaam wakuu
Habari za miangaiko ndugu zangu,kuna hili suala la shule za serikali hasa za kidato cha tano na sita kuamua bila kuzingatia kipato cha wazazi kuweka michango mingi isiyokuwa na ulazima.Mfano Shule ya sekondari Chato iliyopo wilaya chato,mwanafunzi anaambiawa alipe hela ya taaluma 20000, hela ya vibarua 30000, hela ya majaribio 10000, hela ya ukarabati 15000 kwa uchache. Hivi kama siyo upigaji huo ni nini, Serikali angazieni hizi wanafanya vitu vya eti kwa sababu siyo elimu bure wanarundika michango mingi isiyokuwa na uhalali wowote.
Hapa chini nimebatanisha fomu ya mwanafunzi iliyotumwa kwa mzaziView attachment 1312444
elim bure o-level sio a-levelRubbish, sasa mnajitapa na nini na upuuzi wa elimu bure!
Elimu bure inaishia kidato cha nne tu! Yaani kulipa 20,000 tu unalalamika utadhani umelipa mamilioni! Mtoe mwanao hapo chato mpeleke Kaizerege secondary SchoolRubbish, sasa mnajitapa na nini na upuuzi wa elimu bure!
Marian........ FezaElimu bure inaishia kidato cha nne tu! Yaani kulipa 20,000 tu unalalamika utadhani umelipa mamilioni! Mtoe mwanao hapo chato mpeleke Kaizerege secondary School
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huko Kuna michango ya ajabu ajabu sema ndo vile wenye pesa zao wanaamua kukaa kimya maana hakuna namna.Marian........ Feza
Nakubali, lkn serikali inajinasib na elimu bure! Eti ni Olevel na kuja chini!Hata huko Kuna michango ya ajabu ajabu sema ndo vile wenye pesa zao wanaamua kukaa kimya maana hakuna namna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Feza hakuna michango, ada ni around 10,Million, ila marian ipo sana. Lakini ukienda huko ni kuwa umekubali yote.Hata huko Kuna michango ya ajabu ajabu sema ndo vile wenye pesa zao wanaamua kukaa kimya maana hakuna namna.
Sent using Jamii Forums mobile app