Then hapo kweli ni makusudi tu ya ma agent. Lakini pia hua ticket zina namba za ofisi plus mabos, kama vipi unapiga kulalamika. Wanaeza kwepa but taarifa wanayoKwa kesi niliyoipata ya hawa ndugu wawili kutoka dodoma jana ilikuwa walikata ticketi ofisini toka ijumaa asubuhi na jana kuja wanakuta siti hizi hizo zimekatiwa tena na wakadai aliyekatisha mapema alisahau kujaza sehemu husika na kisha mwingine naye kakatisha siti hizo hizo
Ukiona malalamiko yanatolewa na boss hachukui hatua basi anapakuaNaona mmiliki kawaamini sana wanawake maana wakatisha tiketi na utingo ni wanawake
Labda anawala kiaina.Ile mishangazi yenye makope bandia inayokatisha tiketi pale barabara 16 sometimes hawapo makini, kuna mtu mmoja nae alishawahi kufanyiwa huo mchezo na hao wadada. Naona mmiliki kawaamini sana wanawake maana wakatisha tiketi na utingo ni wanawake