Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

Striga

Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
24
Reaction score
20
Nacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma.

Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa.

Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
 
Nacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Mabasi yapo mengi. Kama mfuko unaruhusu kwea pipa, Coastal wanatua Tanga airport
 
Nacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Kweli kabisa nacharo wako na hili tatizo binafsi mimi niliwa panda hiyo gari kutokea Tanga nikashukia segera baada ya malumbano ya kutokupata siti
 
Kwakweli sikufahamu kabisa juu ya uhuni wao huu, wamenisaprise sana, kuanzia leo naanza kuwa haters wa hii kampuni maana muda safari zangu za Dar Tanga ilikuwa wao na Ratco baada ya kurejea
 
Nacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Mabasi ya KIMOTICO kutoka Njombe/Mbeya kwenda Arusha Muziki mkubwa utadhani disco.

Halafu kelele za kiswahili swahili za makonda/dereva muda mwingi.

Tajiri fuatilia tabia za watumishi wako kwenye mabasi.

Hata mabasi ya Kapricon wahudumu wao wana tabia za kiswahili swahili.

Abiria wanaojielewa wanasita kupanda mabasi hayo!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahah
 
Na pia naambiwa RTO wa Dodoma maambiwa askari waliokuwa kituo kikuu cha mabasi asubuhi ya leo pia anatakiwa afuatilie watu hao ni shida
 
Ukienda Tanga pale barabara ya 16 utazikuta taarifa zotee za huyu bwana kwa vijana wa maeneo yale
 
Nacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Ile mishangazi yenye makope bandia inayokatisha tiketi pale barabara 16 sometimes hawapo makini, kuna mtu mmoja nae alishawahi kufanyiwa huo mchezo na hao wadada. Naona mmiliki kawaamini sana wanawake maana wakatisha tiketi na utingo ni wanawake
 
Hahaha mishangazi

Hadi hapo Shekilango ni mishangazi.
 
Ni tabia mbaya sana inayoharibu biashara
 
Suala la kugonganishwa ticket halijaanza leo na sio magari hayo pekee. Mambo ya stendi hua ni mlolongo wa hatari na uongo mwingi. Kama hutaki hii vurugu fanya yafuatayo
1. Kama unasafiri mara kwa mara tafuta agent mmoja alie makini uwe unamcheki kwa sim anakukatia ticket mapema.
2. Ukienda stendi, mostly vishoka wataanza kukung'ang'ania, we waambie umekuja kuchukua mzigo kwenye gari husika hivo wakuelekeze ofisi yao. Ukifika ofisini kata ticket hapo maana hapo ndo kuna main chart ya siti. Na pia hakikisha unaona namba ya ticket yako ikijazwa kwenye chart.
3. Jitahidi siku ya safari uwahi kupanda gari ili akija mtu kusumbua yeye ndo akapamvane na konda
 
Kwa kesi niliyoipata ya hawa ndugu wawili kutoka dodoma jana ilikuwa walikata ticketi ofisini toka ijumaa asubuhi na jana kuja wanakuta siti hizi hizo zimekatiwa tena na wakadai aliyekatisha mapema alisahau kujaza sehemu husika na kisha mwingine naye kakatisha siti hizo hizo
 
Back
Top Bottom